Krakov

(Elekezwa kutoka Krakow)

Krakov (kwa lugha ya Kipolandi: Kraków, Kiingereza: Cracow, Kilatini: Cracovia) ni mji wa Poland. Mji huo ulikuwa na watu 759,144 mwaka wa 2014.[1] [2] Krakov ilikuwa mji mkuu wa Poland kuanzia mwaka wa 1038 hadi 1596.

Krakov, Poland
Krakov

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Earth" does not exist.Mahali pa Krakov katika Earth

Majiranukta: 50°04′00″N 19°56′00″E / 50.066667°N 19.933333°E / 50.066667; 19.933333
Nchi Poland
Idadi ya wakazi
 - 759 800 (30.06.2014)
Tovuti: http://www.krakow.pl/

Viungo vya njeEdit

MarejeoEdit

  1. Główny Urząd Statystyczny, dane za rok 2013 [1]
  2. Central Statistical Office, Warsaw 2007, Population. Size and Structure by Territorial Division, as of June 30, 2007. Table 3, pg.13 of the Report (PDF). Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-12-17. Iliwekwa mnamo 2007-12-13.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Krakov kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.