Kristianstad

Kristianstad ni manispaa na mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 33,083 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1614.

Kristianstad
Kristianstad in Sweden.png

JiografiaEdit

Eneo lake ni 17.67 km².

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kristianstad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.