Kristinehamn ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 17,836 (mwaka 2005). Iko kando ya Ziwa Vänern.

Picasso statue katika Kristinehamn

Jiografia

hariri

Eneo lake ni 13.42 km².

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kristinehamn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.