Kubra Noorzai
Mwanasiasa wa Afghanistan
Kubra Noorzai (kuzaliwa 1932 - kufariki 1986) alikua mwanasiasa wa Afghanistan, alikua mwanamke wa kwanza kuwa waziri wa nchi,[1] akihudumu kama waziri wa Afya ya umma kati ya 1965 na 1969
MarejeoEdit
- ↑ Ende, W.; Grassmuck, George; Adamec, Ludwig W.; Irwin, Frances H. (1974). "Afghanistan. Some New Approaches". Oriens 23: 539. . . http://dx.doi.org/10.2307/1580154.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kubra Noorzai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |