Kubu Kubu
Kubu Kubu (au Kubukubu; alizaliwa Njagi wa Ikutha) alikuwa kiongozi na jenerali wa Mau Mau katika kabila la Waembu. Jina lake la utani, Kubu Kubu, linamaanisha "mlio mzito" kwa Kiembu, likirejelea mlio wa miguu yake kutokana na uzito wake mkubwa. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Our two-hour search for Embu's hidden Mau Mau caves". The Star, Kenya (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-09. Iliwekwa mnamo 2018-12-08.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kubu Kubu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |