Waembu ni kabila la Kibantu linalokalia tangu kale kaunti ya Embu nchini Kenya. Wanakadiriwa kuwa 324,092 [1]

Lugha mama yao ni Kiembu, mojawapo kati ya lugha za Kibantu. Wengi wao ni Wakristo.

Wana undugu wa asili na Wakikuyu, Wameru, Wambeere na Wakamba.

Tanbihi

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-02. Iliwekwa mnamo 2019-02-20. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waembu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.