Kujifunza kwa kina

Kujifunza kwa kina au kujifunza kina (kwa Kiingereza deep learning) ni tawi la kujifunza kwa mashine linalotumia mitandao ya neva bandia yenye matabaka zaidi ya matatu, mitandao hii ya neva bandia hujifunza kwa kuchakata taarifa mithili ya ubongo wa binadamu. Japokua mtandao wa neva bandia wenye tabaka moja unaweza kutoa majibu, ule wenye matabaka mengi zaidi una uwezo wa kutoa majibu kwa usahihi mkubwa zaidi. [1]

Kielelezo cha mtandao wa neva bandia wenye matabaka matatu au zaidi

Marejeo hariri

  1. "What is Deep Learning? | IBM". www.ibm.com (kwa en-us). Iliwekwa mnamo 2024-01-10. 
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kujifunza kwa kina kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.