Kukimbia kwa miguu mitatu
Kukimbia kwa miguu mitatu ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki.
Kukimbia kwa miguu mitatu kunahusisha watoto wawili wawili, kila jumuiko la watoto wawili wanafungwa kamba mguu mmoja mmoja kwa pamoja hivyo watoto wawili wanakuwa na miguu mitatu badala ya minne kila moja anakuwa na miguu wake wa pekee na mguu mmoja wanachangia. Ili waweze kukimbia inabidi washirikiane katika kunyanyua huo mguu watatu
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kukimbia kwa miguu mitatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |