Kukimbiza kuku ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki ingawa kwa sasa mchezo huu umekua ukichezwa hata na watu wazima hasa katika mabonanza ya michezo yanayowakutanisha watu wanaocheza michezo mbalimbali.

Watoto wakifukuza kuku
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kukimbiza kuku kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.