Kuma (pia: uke) ni kiungo cha kike kilicho na matumizi kadha wa kadha, mojawapo ikiwa ufunguzi wa kupitishia mkojo, kiungo cha uzazi na halikadhalika kiungo cha ngono. Kiungo hicho kina uwezo wa kujisafisha kwa njia ya bakteria wake[1].

Kuma ya binadamu:
1: govi la kinembe
2: kinembe
3: mashavu ya nje ya uke
4: mashavu ya ndani ya uke
5: ufunguzi wa mfumo wa mkojo
6: ufunguzi wa mfumo wa uzazi
7: msamba
8: mkundu

Tanbihi

  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuma kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.