Kumamoto, Kumamoto
Jiji katika Jimbo la Kumamoto, Japani
Kumamoto (熊本市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Kumamoto. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 680 000 wanaoishi katika mji huu.
Kumamoto | |||
|
|||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kyushu | ||
Mkoa | Kumamoto | ||
Idadi ya wakazi | |||
- | 679 312 | ||
Tovuti: www.city.kumamoto.kumamoto.jp |
Viungo vya njeEdit
- Tovuti rasmi Archived Aprili 23, 2003 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kumamoto, Kumamoto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |