Kung'u Karumba
Kung'u Karumba alikuwa mzalendo na mpigania uhuru wa Kenya.
Alikuwa mwanachama wa Kapenguria Six, pamoja na Bildad Kaggia, Jomo Kenyatta, Fred Kubai, Paul Ngei, na Ochieng Oneko.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Dec. 12, 1963 | Kenya Gains Independence - The New York Times
- ↑ The case that immortalised Kenya's 'Kapenguria Six'. (2017, July 1). https://www.theeastafrican.co.ke/magazine/Case-that-immortalised-Kenya-Kapenguria-Six-/434746-3995106-s8sxn5z/index.html
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kung'u Karumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |