Bildad Mwaganu Kaggia (19217 Machi 2005) alikuwa mzalendo, mwanaharakati, na mwanasiasa wa Kenya.

Bildad Kaggia mjini Nairobi mwaka 1949

Kaggia alikuwa mwanachama wa kamati kuu ya Mau Mau. Baada ya uhuru akawa mbunge.

Alijidhihirisha kuwa mwanajeshi, mzalendo mkali ambaye alitaka kuwatumikia watu maskini na wasio na ardhi. Kwa sababu hii alitofautiana bila maelewano na Jomo Kenyatta.[1] [2]

Marejeo

hariri
  1. Kaggia, 2012: 49–55. Kinatti, 2008: 90–91
  2. Rosberg, 1985: 193.