Kusadikika ni kitabu kilichoandikwa na mwandishi Shaaban Robert kutoka nchi ambayo sasa inaitwa Tanzania.

Kusadikika
Jalada la Kusadikika
MwandishiShaaban Robert
NchiTanzania
LughaKiswahili
AinaBunilizi, Fantasia
MchapishajiMkuki na Nyota

Kitabu kinaelezea nchi ya Kusadikika ambayo ipo angani, ikipakana na nchi zingine nyingi.

Kusadikika ni mojawapo ya kazi maarufu sana za mwandishi Shaaban Robert ambaye pengine anatajwa kama baba wa fasihi ya Kiswahili.

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kusadikika kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.