Darfur Kusini

(Elekezwa kutoka Kusini Darfur)

Majiranukta kwenye ramani: 11°31′N 25°2′E / 11.517°N 25.033°E / 11.517; 25.033

Moja ya kijiji ndani ya Darfur, Sudan


Mahali pa Kusini Darfur katika Sudan

Darfur Kusini (Kiarabu: جنوب دارفور‎; ambayo inatafsiriwa kutoka: Janob Darfor) ni mojawapo wa wilayat majimbo 26 ya Sudan. Ni mojawapo wa majimbo matatu yanayojumuisha eneo la Darfur magharibi mwa Sudan. Lina ukubwa wa eneo la kilomita mrba 127,300 na idadi ya watu inayokadiriwa kuwa 2,890,000 (2006). Nyala ndio mji mkuu wake. Kwa hakika, Darfur ndilo jimbo kubwa zaidi nchini Sudan.

HistoriaEdit

 
Miji katika eneo hili

Historia ya Darfur Kusini ni sawa na ile ya Darfur.

Angalia PiaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Darfur Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.