Kusitisha silaha, kutawanyisha na uhamisho

Kusitisha silaha, kutawanyisha na uhamisho au Kusitisha silaha, kutawanyisha, uhamisho, kufidia na upyaji ni mbinu zinazotumika kama sehemu ya mchakatua wa hatua za Amani,[1]kiujumla ni mbinu zinazotumika katika shughuli zote za Umoja wa Mataifa za utunzaji wa Amani ufuato vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Marejeo hariri

  1. "ISBN", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-08-01, iliwekwa mnamo 2022-08-16