Kwabena Agyei Agyapong (alizaliwa 6 Machi 1962) ni Mhandisi wa Ujenzi na Mwanasiasa wa Ghana .

Maisha

hariri

Agyapong alizaliwa tarehe 6 Machi 1962, huko Kumasi, Mji Mkuu wa Mkoa wa Ashanti nchini Ghana . Alikuwa mtoto wa Jaji Kwadwo Agyei Agyepong, mmoja wa majaji watatu mashuhuri wa Ghana ambaye alitekwa nyara na kuuawa miaka ya mwanzo ya Baraza la Kitaifa la Muda la Ulinzi la Ghana. (PNDC). [1] Alisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Mfantsipim .

Maisha binafsi

hariri

Amesoma Shule ya Mfantsipim huko Cape Coast na kupata Shahada ya BSc katika Uhandisi wa Ujenzi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah huko Kumasi. Kwabena Ayepong kwa muda mrefu aliandaa Vipindi vya Michezo kwenye Kituo cha Televisheni cha Taifa cha Ghana kinachomilikiwa na Shirika la Utangazaji la Ghana .

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwabena Agyapong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.