La Red
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
La Red (pia inajulikana kama La Red Chilena de Televisión) ni kituo cha binafsi cha runinga nchini Chile.
Ilianza kutangaza tarehe 12 Mei 1991, kama kituo cha pili cha kibinafsi cha televisheni nchini Chile, baada ya Mega.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu La Red kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |