La Soukra
La Soukra ni mji wa wilaya ya Ariana huko Tunisia.
Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 129,693[1] na upo karibu na mji mkuu Tunisi.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Recensement de 2014 (Institut national de la statistique) Archived 2014-10-29 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Tunisia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu La Soukra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |