La Spezia

La Spezia ni mji wa mkoa wa Liguria, Italia Kaskazini wenye wakazi 93,229 (2018).

Muonekano wa Mji wa Spezia

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu La Spezia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.