Lakhdar Belloumi
Lakhdar Belloumi (alizaliwa 29 Desemba 1958) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu na meneja timu ya taifa ya Algeria. lakhdar Anazingatiwa sana kama mchezaji bora wa Algeria wa wakati wote na mmoja wa wachezaji bora zaidi barani Afrika.[1][2]
Ushiriki Katika Klabu
haririBelloumi alitumia takriban maisha yake yote nyumbani (mbali na kipindi kifupi huko Qatar mwishoni mwa kazi yake), haswa akiwa na kilabu cha mji wake wa GC Mascara, pamoja na klabu ya MC Oran.
Ushiriki Kimataifa
haririBelloumi ana jumla ya mechi 147 na mabao 34 kwa timu ya taifa ya Algeria lakini ni mechi 100 pekee na mabao 28 yanatambuliwa na FIFA.
Marejeo
hariri- ↑ "Lakhdar Belloumi: The Wizard of Maghreb". A Halftime Report (kwa Kiingereza). Alfiepottsharmer. 24 Mei 2015.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Golden Goal: Lakhdar Belloumi for Algeria v West Germany (1982)". The Guardian (kwa Kiingereza). Simon Burnton. 22 Septemba 2020.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo Vya Nje
hariri- Lakhdar Belloumi katika National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lakhdar Belloumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |