Langley Kirkwood

Mwigizaji wa Uingereza



Langley Kirkwood (alizaliwa Aprili 14 1973) ni mwigizaji wa Afrika ya Kusini.[1] Licha ya kuonekana katika filamu kama vile Invictus, Dredd na Mia and the White Lion, Langley alishiriki mashindano ya Ironman nchini Afrika Kusini.[2][3] Baba yake ni Mhindi wa Magharibi na mama yake ni wa Afrika Kusini. Ameoa na anawatoto watatu (3) na mwanamitindo na mpiga picha Josiehttp://www.thenew Borain.[4]

Langley Kirkwood
Amezaliwa Langley Kirkwood
Aprili 14
Afrika ya kusini
Nchi Afrika ya kusini
Kazi yake Muigizaji
Watoto watatu


Filamu zilizochaguliwa

hariri

Filamu

hariri
  • 1999 - Pirates of the Plain - Credit manager
  • 2001 - Final Solution (2001) - Pieter
  • 2003 - Citizen Verdict - Vince Turner
  • 2003 - Consequence - Pope Agent
  • 2003 - Red Water - Brett Van Ryan
  • 2003 - The Bone Snatcher - Paul
  • 2004 - Charlie - Eddy Richardson
  • 2004 - In My Country - Boetie
  • 2004 - Berserker - Norseman
  • 2004 - Blast - Agent Phillips
  • 2004 - King Solomon's Mines - Sergei
  • 2004 - Dracula 3000 - Orlock
  • 2004 - Murmur - Billy
  • 2004 - Dead Easy - Lloyd
  • 2006 - Mercenary for Justice - Kreuger
  • 2007 - The Three Investigators and the Secret of Skeleton Island - Tom Farraday
  • 2008 - Coronation Street: Out of Africa - Ed Teal
  • 2009 - Endgame - Jack Swart
  • 2009 - Invictus - Presidential Guard
  • 2011 - Atlantis - Rusa
  • 2012 - Dredd - Judge Lex
  • 2012 - Death Race 3: Inferno - Dr. Klein
  • 2014 - SEAL Team 8: Behind Enemy Lines - Lieutenant Parker
  • 2014 - The Salvation
  • 2018 - Mia and the White Lion - John Owen

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Langley Kirkwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Langley Kirkwood". TVSA: The South African TV Authority.
  2. "Langley Kirkwood". Ironman South Africa 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2013-01-15. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  3. "Langley Kirkwood". Ironman South Africa 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2013-01-15. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  4. "Josie Borain". The New Age. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [age.co.za/9904-12-53-Josie_Borain chanzo] mnamo 2013-07-03. {{cite web}}: Check |url= value (help)