Larbi Benbarek (pia anajulikana kama Ben Barek au Ben M'barek, Kiarabu: العربي بن مبارك‎; 16 Juni 1917 – 16 Septemba 1992) alikuwa mchezaji wa soka wa Moroko. Alitumikia Timu ya taifa ya soka ya Ufaransa mara 17. Alipata jina la utani la "Lulu Mweusi" na anachukuliwa kama mmoja wa wachezaji bora wa soka wa wakati wake.[1]

Larbi Benbarek
Larbi Benbarek
Youth career
1928–1930FC El Ouatane de Casablanca
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
1930–1934Wydad AC
1934–1938US Marocaine
1938–1939Marseille30(10)
1939–1945US Marocaine
1945–1948Stade Français87(43)
1948–1953Atlético Madrid113(56)
1953–1955Marseille32(13)
Timu ya Taifa ya Kandanda
1936–1938Morocco7(0)
1938–1954Ufaransa17(0)
Teams managed
1957Morocco
1960Morocco
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).

Miaka sita baada ya kifo chake, alipewa FIFA Order of Merit, heshima kubwa kabisa ya FIFA.

Mafanikio

hariri

Club Atlético de Madrid[2]

Marejeo

hariri
  1. "Morocco's Ben Barek, The Black Pearl of Soccer". Boxscore World Sportswire. 4 Aprili 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-10. Iliwekwa mnamo 2023-06-13. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. "Ben Barek - BDFutbol" (kwa Kihispania).
  3. "IFFHS". IFFHS. 1 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 3 Machi 2022.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Larbi Benbarek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.