Atletico Madrid ni timu ya soka ya Madrid, mji mkuu wa Hispania, ambayo hucheza La Liga.

Kikosi Cha Atlético Madrid 2016-2017

Hii timu inasimamiwa na Diego Simeone na wanacheza michezo yao katika uwanja wao wa nyumbani unaoitwa Wanda Metropolitano.

Wachezaji wengine maarufu ambao wamecheza pale au bado wapo ni Fernando Torres, Antoine Griezmann, Koke, Diego Godin, Diego Costa, na Radamel Falcao.

Katika idadi ya majina, Atlético Madrid ni klabu ya tatu yenye mafanikio zaidi katika soka ya Hispania, nyuma ya Real Madrid na Barcelona F.C..

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Atlético Madrid kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.