Latifa Jbabdi

Mwanaharakati wa haki za wanawake wa Morocco, mwanasosholojia na mwandishi wa habari

Latifa Jbabdi (amezaliwa 1995) mwanaharakati na mwandishi wa Moroko. Anajulikana kwa kazi za kusaidia na kuboresha haki za wanawake kupitia taasisi ya madawa Moroko inayojiusisha na kanuni za kifamilia za kuongoza maisha katika familia. Pia aliwahi kua mjumbe wa baraza la wawakilishi kuanzia 2007 hadi 2011.

MAisha ya awali , Elimu, Harakati za vijana.Edit

Latifa Jbabdi 1995 katika mji wa Tintiz uliopo Moroko ya kusini[1][2]. Alimaliza elimu yake katika mji wa nyumbani(aliko zaliwa) na kuendelea katika mji wa Agadir[3].[4]Akiwa kama mwanafunzi alijihusisha na vuguvugu la wanaharakati wa vijana kwa kipindi hicho.

MarejeoEdit

  1. Mrs. Latifa Jbabdi | Conseil National des Droits de l'Homme. www.cndh.org.ma. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  2. Latifa Jbabdi, icône du féminisme engagé (fr-FR). Medias24 (2019-03-11). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  3. Osire Glacier, PhD. Latifa Jbabdi (1955 – ) ou un chapitre du féminisme au Maroc | Études marocaines, Osire Glacier (fr-FR). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
  4. Latifa Jbabdi (en-GB). IFIT. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.