Latifa Mtobi

Muigizaji wa kike wa filamu Tanzania

Latifa Mtobi (maarufu kama Tanita; alizaliwa Tanga mwaka 1992) ni mwigizaji wa filamu wa Tanzania.

Latifa Mtobi
AmezaliwaLatifa Mtobi
Majina mengineTanita
Kazi yakeMwigizaji, mtayarishaji wa filamu,

Ameanza tasnia ya Bongo movie kwa Tuesday Entertainment, anapendelea kuogelea na riadha.

Yuko pamoja na waigizaji wengine katika tamthilia ya Millosis inayorushwa TBC1, kutoka kwa Mwongozaji wa Filamu Tuesday Kihangala.[1]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-09. Iliwekwa mnamo 2018-12-01. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Latifa Mtobi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.