Laurentine Mbede, akijulikana kama Laurentine Koa Mfegue, ,ni mwanasiasa mkameruni. Anafanya kazi kama mjumbe wa bunge la taifa la kameruni tangu mwaka 2012,na anashikilia nafasi ya kamati ya mambo ya nje[1][2]

Wasifu

hariri

Mbede alizaliwa kameruni katika jamii ya Mvog Fouda

Marejeo

hariri
  1. "Parlement : 61 femmes vont siéger à l'Assemblée nationale du Cameroun | EEAS". www.eeas.europa.eu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-07-28.
  2. "Parlement : jour de rentrée". www.cameroon-tribune.cm (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-03-09.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laurentine Mbede kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.