Lawi Yohana

Mhadhiri Mtanzania

  Lawi Yohana (alizaliwa Mkoani Mbeya), ni Mhadhiri Mtanzania wa Sayansi ya Mazingira na kwa sasa ni mratibu wa Kitengo cha huduma za kufundisha na kujifunzia na alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mitihani katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania . [1][2] [3] [4] [5]

Lawi, miongoni mwa wanazuoni wa Afrika Mashariki ambao wanahimiza wadau wa elimu katika sekta ya umma na binafsi kutumia mifumo ya elimu kwa njia ya teknolojia kukabiliana na mabadiliko ya tehama yanayotokana na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano ili kuleta ufanisi wa elimu katika vyuo vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki. [6] [7]

Marejeleo hariri

  1. "Ndaki - [[Chuo Kikuu Huria cha Tanzania]]".  Wikilink embedded in URL title (help)
  2. "Lawi Yohana | Open University of Tanzania, URT | OUT | Department of Science Technology and Environmental Studies". ResearchGate (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-06-14. 
  3. "Lawi Yohana | Open Educational Resources (OER) - Africa". www.oerafrica.org. 
  4. "Ongezeko la watu lisiathiri uchumi" (kwa Kiswahili). Habari Leo. 3 March 2023. Iliwekwa mnamo 13 June 2023.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Makali ya tozo za miamala" (kwa Kiswahili). Mwananchi Publishers. 22 September 2022. Iliwekwa mnamo 13 June 2023.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. "Strengthening East Africa universities on blended learning". (The Association of Commonwealth Universities). 
  7. Lugongo, Bernard (22 October 2022). "Tanzania: Project Set to Address Skills, Competence Challenges in Job Market". Iliwekwa mnamo 13 June 2023.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lawi Yohana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lawi Yohana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.