Open main menu
Ramani ya mji wa Mkoani (Pemba)
Bandari ya Mkoani

Mkoani ni mji kwenye kisiwa cha Pemba, Tanzania yenye postikodi namba 74100 .[1] na makao makuu ya Wilaya ya Mkoani.

Mji upo upande wa magharibi wa Pemba ukitazama upanda wa Tanzania bara.

Kuna bandari muhimu zadi wa Pemba ambako feri nyingi zinafika kutoka Unguja au kutoka Tanzania bara. [2]

Kuna hospitali kubwa ya Abdulla Mzee.

MarejeoEdit