Lazaro Nyalandu

Nyalandu

Lazaro Samuel Nyalandu (amezaliwa 18 Agosti, 1970) ni mbunge wa jimbo la Singida North katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Lazaro Samuel Nyalandu (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.