Handwörterbuch Deutsch-Swahili
(Elekezwa kutoka Legere)
Handwörterbuch Deutsch-Swahili (K. Legere) ni kamusi sanifu ya Kiswahili kwa lugha ya Kijerumani. Maneno ya Kijerumani yamepangwa pamoja na maaan kwa Kiswahili.
Kamusi hii ilitungwa na kutolewa 1990 na mjini Leipzig katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani kama "Wörterbuch Deutsch-Swahili" pamoja na "Wörterbuch Swahili - Deutsch". Mhariri mkuu alikuwa profesa Kartsen Legere. Baada ya maungano ya Ujerumani haki zilinunuliwa na kampuni ya Langenscheidt huko München na kutolewa upya 2001.