Lenrie Olatokunbo Aina
Profesa wa Nigeria wa Sayansi ya Maktaba
'
Lenrie Olatokunbo | |
---|---|
Lenrie Olatokunbo Aina
Olatokunbo | |
Amezaliwa | 20 Disemba 1950 |
Kazi yake | MWanasayansi |
Lenrie Olatokunbo Aina (alizaliwa tarehe 20 Disemba 1950) ni Profesa wa Sayansi ya Maktaba na Habari, na alikuwa Mkurugenzi wa Maktaba ya Kitaifa ya Nigeria (NLN) Abuja.[1]
Elimuyake
haririProfesa Aina alipata shahada ya kwanza katika kemia kutoka Chuo Kikuu cha Lagos, mwaka wa 1974; Cheti cha Shahada ya Uzamili katika Maktaba, kutoka Chuo Kikuu cha Ibadan, mwaka wa 1976 na M.Phil. Sayansi ya Habari, Chuo Kikuu cha Mji, London, 1980. Mwaka wa 1986, alipata Shahada ya Uzamili katika Masomo ya Maktaba, kutoka Chuo Kikuu cha Ibadan, Ibadan.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "After one year on this job, I was offered N200m Abuja land - Prof. Aina, CEO, National Library". Punch Newspapers (kwa American English). 2018-10-28. Iliwekwa mnamo 2022-11-29.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs named:0
- ↑ "Lenrie Olatokunbo Aina | IGI Global". www.igi-global.com. Iliwekwa mnamo 2022-04-11.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lenrie Olatokunbo Aina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |