Leon Dmochowski (1 Julai 1909, Ternopil - 26 Agosti 1981, Mexico) alikuwa mtafiti na Profesa wa virusi vya kansa kutoka nchini Marekani. Baada ya kugunduliwa kwa hadubini,alikua wa kwanza kugundua asili ya virusi vya uvimbe wa saratani.[1] [2]

Marejeo hariri

  1. Yuriy Kovaliv (20 June 2014). "Леонтій Дмоховський". www.ukrainiansintheuk.info (kwa Kiukraini). Ukrainians in the United Kingdo. Iliwekwa mnamo 2022-03-06.  Check date values in: |date= (help)
  2. Звідомлення Виділу «Кружка Родичів» при Державній Ґімназії з українською мовою навчання в Перемишлі за шкільний рік 1935—1936 — 2nd edition — Clifton, 1976. — p. 171.
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leon Dmochowski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.