Leonardo Fabbri(alizaliwa 15 Aprili 1997)[1] ni Mwitalia wa kiume mrusha tufe. Alishindana kwenye Olimpiki ya majira ya joto 2020, kwenye Kurusha tufe.[2]

Fabbri, 2022.
Fabbri, 2022.

Marejeo hariri

  1. Italia_ETCH21.pdf (fidal.it)
  2. "Athletics FABBRI Leonardo - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.