Mnandi

Familia ya ndege wa maji wanaozama
(Elekezwa kutoka Leucocarbo)
Mnandi
Wanandi kidari-cheupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Suliformes (Ndege kama ndegejinga)
Familia: Phalacrocoracidae (Ndege walio na mnasaba na wanandi)
Reichenbach, 1850
Ngazi za chini

Jenasi 3; spishi 10 katika Afrika:

Wanandi ni ndege wa maji wa familia Phalacrocoracidae ambao wanafanana na vibisi lakini wana mkia mrefu zaidi na domo lao ana ncha kwa kulabu. Rangi yao kuu ni nyeusi. Wanandi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga matago yao kwa matawi na mimea ya maji juu ya miti au miamba. Jike huyataga mayai 3-4.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za mabara mengine

hariri