Levy Sekgapane
Msanii wa Africa Kusini
Levy Sekgapane (alizaliwa 16 Desemba, 1990), ni mwimbaji wa nchini Afrika Kusini ambaye pia hufanya majukumu mengine katika G. Rossini, G. Donizetti, WA Mozart na JS Bach .
Maisha ya awali na elimu
haririLevy Sekgapane alizaliwa mnamo tarehe 16 Desemba mwaka 1990 huko Kroonstad, Afrika Kusini. Alihitimu masuala ya muziki katika Chuo Kikuu cha Cape Town . [1][2]
Kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya sauti
haririLevy Sekgapane alipata tuzo ya 1 katika shindano la International Hans Gabor Belvedere Singing Competition [3] na pia tuzo ya 1 katika shindano la Kimataifa la kuimba la Montserrat Cabalé mnamo mwaka 2015. Katika majira ya joto ya mwaka 2017, alishinda tuzo ya 1 katika Operalia ya Plácido Domingo, Mashindano ya Opera ya Dunia. [4]
Marejeo
hariri- ↑ "klassik.com : Tenor Levy Sekgapane gewinnt den Montserrat Caballé Gesangswettbewerb". magazin.klassik.com. Iliwekwa mnamo 2020-01-01.
- ↑ "Levy Sekgapane". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ "Belvedere Singing Competition". www.belvedere-competition.com. Iliwekwa mnamo 2019-12-29.
- ↑ "Operalia | Winners". operalia (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-29.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Levy Sekgapane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |