Leyla Islam qizi Yunusova (anajulikana zaidi kama Leyla Yunus, alizaliwa 21 Desemba 1955),[1] ni mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Azerbaijan ambaye anahudumu kama mkurugenzi wa Taasisi ya Amani na Demokrasia, shirika la haki za binadamu. Anajulikana sana kwa kazi yake ya kusaidia wananchi walioathiriwa na kufurushwa kwa nguvu huko Baku, kwa niaba yao aliratibu maandamano kadhaa madogo. [2]

Leyla Yunus

Marejeo

hariri
  1. "ЮНУСОВА Лейла - Биография - БД "Лабиринт"". www.labyrinth.ru. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Waal, Thomas de (2013), "Black Garden: Armenia and Azerbaijan through Peace and War", Black Garden (kwa Kiingereza), New York University Press, uk. 87, doi:10.18574/nyu/9780814770825.001.0001, ISBN 978-0-8147-7082-5
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leyla Yunus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.