Peter Ambrose Lijualikali

(Elekezwa kutoka Lijualikali)

Peter Ambrose Lijualikali ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kilombero kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017