Keshinro Ololade (anajulikana kama Lil Kesh, amezaliwa 17 Machi 1995) ni rapa, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria.

Alipata umaarufu baada ya kutoa wimbo wa "Shoki".[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Abimboye, Micheal. "Kiss Daniel, Lil Kesh others to rule 2015", Premium Times, 24 December 2014. 
  2. "MUST WATCH! AMBER ROSE Dances To Lil Kesh's 'SHOKI' At D'banj's Concert", Information Nigeria, 1 February 2015. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lil Kesh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.