Lila Tretikov

Lila Tretikov (alizaliwa Olga (Lyalya) Tretyakova, Moscow, Umoja wa Kisovyeti.[1] Januari 25, 1978)[2] ni mhandisi na meneja wa Urusi na Marekani.[3] Tretikov alizaliwa jijini

Lila Tretikov akiongea mkutanoni

Baba yake alikuwa mtaalamu wa hesabu na mama alikuwa mtunzi wa filamu.

MarejeoEdit

  1. Meet the Woman Charged With Saving Wikipedia. TIME.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-03.
  2. File:WMF Monthly Metrics Meeting May 1, 2014.ogv - Wikipedia (en). commons.wikimedia.org. Iliwekwa mnamo 2022-10-03.
  3. Knight Foundation invests in immersive technology (en-US). Microsoft In Culture. Iliwekwa mnamo 2022-10-03.