Linda Caicedo

Mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Kolombia

Linda Lizeth Caicedo Alegría (alizaliwa 25 Februari 2005)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Colombia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Liga F ya Real Madrid na timu ya taifa ya wanawake ya Colombia.[2]

Caicedo akiwa na Real Madrid mnamo 2024

Caicedo amekuwa akicheza katika ngazi ya klabu kubwa tangu 2019, alipocheza kwa mara ya kwanza katika klabu ya América de Cali ya Colombia akiwa na umri wa miaka 14.[3]

Marejeo

hariri
  1. Culpepper, Chuck. "Colombia brought the noise in its stunning World Cup upset of Germany", Washington Post, 2023-07-30. (en-US) 
  2. "From ovarian cancer to Women's World Cup stardom", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-13
  3. Miguel Ángel Prieto Pérez, Roddy Cons (2023-11-17). "Real Madrid and Colombia star Linda Caicedo wins 2023 Golden Girl award". Diario AS (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linda Caicedo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.