Israel-Isaac Lipshitz, pia alijulikana kama Lippy Lipshitz ( 8 Mei 1903 - 17 Mei 1980 ) [1] alikuwa mchongaji wa sanamu, mchoraji na mchapaji wa nchini Afrika Kusini. Alichukuliwa kuwa ni mmoja wa wachongaji muhimu zaidi wa nchini Afrika Kusini, akiwa ni pamoja wengine kama Moses Kottler na Anton van Wouw .

Marejeo

hariri
  1. Arnott, Bruce (1969). Lippy Lipshitz: a biographical commentary, & documentation of the years 1903 – 1968 with catalogue raisonné of sculptures by Bruce Arnott. Cape Town: A. A. Balkema.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lippy Lipshitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.