Litoral (Guinea ya Ikweta)
Litoral (ikimaanisha "Pwani") ndio mkoa wenye watu wengi zaidi wa Guinea ya Ikweta. Katika sensa ya mwaka 2015 ulikuwa na wakazi 367,348. Mji mkuu wake ni Bata; miji mingine miwili ni Mbini na Kogo.
Litoral | |
Nchi | Equatorial Guinea |
---|---|
Makao makuu | Bata |
Eneo | |
- Jumla | 6,665 km² |
Idadi ya wakazi (2015) | |
- Wakazi kwa ujumla | 366,310[1] |
Mkoa huo ni sehemu ya kanda ya Rio Muni iliyopo kwenye sehemu ya bara ya nchi.
Mpaka wa magharibi wa Litoral ni pwani ya Ghuba ya Guinea. Kwenye nchi kavu inapakana na mikoa ifuatayo:
- Mkoa wa Kusini, Kamerun —kaskazini
- Centro Sur, Guinea ya Ikweta —mashariki
- Mkoa wa Estuaire, Gabon —kusini
Marejeo
hariri- ↑ "Censo de población 2015–República de Guinea Ecuatorial" (PDF) (kwa Kihispania). INEGE. uk. 7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 8 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 8 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)