Lorraine Adams
Muandishi wa Marekani
Lorraine Adams ni mtunzi wa riwaya na mwandishi wa habari wa Marekani.Kama mwandishi wa habari anajulikana kama mchangiaji kwenye New York Times Book Review na pia ni mchangiaji rasmi katika The Washington Post.
Lorraine Adams | |
Nchi | Marekani |
---|
Maisha ya Awali
haririLorraine Adams ni muhitimu katika chuo kikuu cha Princeton University mnamo mwaka 1981 baada ya kuwa amemaliza kitabu, mkusanyiko wa kitabu kilichokuja kuitwa "The Hero in Ezra Pound" [1]
Maisha binafsi
haririAdams anaishi Harlem, New York, na ameolewa na mwandishi wa riwaya, Richard Price."[2]
Tuzo
hariri- Tuzo ya Pulitzer ya Uchunguzi mwaka wa 1992[3]
- Tuzo ya Mwandishi Mpya wa Kwanza wa VCU mwaka wa 2006[4]
- Mkataba wa Guggenheim mwaka wa 2010[5]
Marejeo
hariri- ↑ Adams, Lorraine Gladus (1981). "The Hero in Ezra Pound's Cantos". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-28. Iliwekwa mnamo 2021-05-19.
{{cite journal}}
: Cite journal requires|journal=
(help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ Chanzo Cha Kutegemewa.https://www.washingtonpost.com/blogs/reliable-source/post/love-etc-authors-richard-price-and-lorraine-adams-wed/2012/05/20/gIQANSwudU_blog.html Washington Post mtandaoni (Mei 20, 2012).
- ↑ http://www.pulitzer.org/bycat/Investigative-Reporting Pulitzer.org. Imetolewa 2013-11-04.
- ↑ http://www.blackbird.vcu.edu/v5n1/fiction/adams_l/start.htm Blackbird.vcu.edu. Imetolewa 2013-11-04.
- ↑ http://webarchive.loc.gov/all/20101008171622/http://www.mediabistro.com/galleycat/awards/joseph_oneil_lorraine_adams_and_colum_mccann_named_2010_guggenheim_fellows_158565.aspMediabistro.com. 2010-04-15. Imehifadhiwa kutoka http://www.mediabistro.com/galleycat/awards/joseph_oneil_lorraine_adams_and_colum_mccann_named_2010_guggenheim_fellows_158565.asp mnamo 2010-10-08. Imetolewa 2013-11-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lorraine Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |