Lorraine Bethel ni mwanaharakati na mwandishi wa nchini Marekani mwenye asili ya Kiafrika.

Uzoefu wa kitaaluma hariri

Ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Yale.[1] Bethel amefundisha na kutoa mihadhara juu ya fasihi ya wanawake weusi na utamaduni wa wanawake weusi katika taasisi mbalimbali. Kwa sasa anafanya kazi kama mwandishi wa habari huko jijini New York.

Marejeo hariri

  1. But Some of Us Are Brave: Black Women's Studies. The Feminist Press. 1982. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lorraine Bethel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.