Luana Chiara Bühler (alizaliwa 28 Aprili 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswisi ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uswisi.

Luana Bühler mnamo Oktoba 2018

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luana Bühler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.