Lucía Moral Ruíz (alizaliwa 11 Februari 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Marta Griñán (2023-04-03). "Lucía Moral derriba la puerta". Diario AS (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  2. "Así es Lucía Moral 'Wifi', cordobesa y campeona de Europa de fútbol femenino dos veces consecutivas". Diario ABC (kwa Kihispania). 2023-07-31. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucía Moral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.