11 Februari
tarehe
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Februari ni siku ya arubaini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 323 (324 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1855 - Tewodros II alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 1929 - Mkataba wa Lateran kati ya serikali ya Italia na Papa kuhusu Mji wa Vatikani
- 1979 - Mapinduzi ya Uajemi
Waliozaliwa
hariri- 1535 - Papa Gregori XIV
- 1979 - Brandy Norwood, mwimbaji kutoka Marekani
- 1992 - Taylor Lautner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 244 - Gordian III, Kaisari wa Dola la Roma
- 731 - Mtakatifu Papa Gregori II
- 824 - Mtakatifu Papa Paskali I
- 1963 - Sylvia Plath, mshairi wa Marekani
- 1968 - Howard Lindsay, mwandishi kutoka Marekani
- 1973 - Johannes Hans Daniel Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 1978 - Harry Martinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1974
- 1981 - Ketti Frings, mwandishi kutoka Marekani
- 1993 - Robert Holley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 2012 - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Lurdi, lakini pia za watakatifu Sotere wa Roma, Wafiadini wa Numidia, Kastrese, Sekondino wa Apulia, Severino wa Agaune, Papa Gregori II, Papa Paskali I, Ardani, Petro Maldonado n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-10 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |