Lucas Lumambo Selelii

Lucas Lumambo Selelii (amezaliwa 4 Oktoba, 1960) ni mbunge wa jimbo la Nzega katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Lucas Lumambo Selelii". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.