Lucy Fidelis Owenya
Lucy Fidelis Owenya (amezaliwa tarehe 2 Februari 1964) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |